naam, mtoto mzuri mwenye sura la hurlaini
kanyooka ka laini
umbo na akili kumakinika kwa makini
yamkini nimechoka kuwa single
smile kiasi nicheki hizo dimples
vile zinakufanya tu visimple
mapenzi pure kama manure tamu bila pimples
ni mimi na we, duo hadi tuwe na mawrinkles
nikikupenda saa hii, nitaendelea hadi the kingdom come
kwanza napenda ukicum,into my life ukibring satisfaction
nakupenda na whole fraction ya heart ya me
niamini mammi nikikuambia ni wewe tu na mi
sisi tu wawili, kimwili, akili na kimantiki
more than marafiki, kila siku juma na wiki hii
hata tukila nyamchom ama sukuma wiki
mapenzi matam ka tam tam na keki
sisi tu wawili twafanya wasoro wakreki
kanyooka ka laini
first time Johny amebamba Mcutest!!!!!!!!!!! |
yamkini nimechoka kuwa single
smile kiasi nicheki hizo dimples
vile zinakufanya tu visimple
mapenzi pure kama manure tamu bila pimples
ni mimi na we, duo hadi tuwe na mawrinkles
nikikupenda saa hii, nitaendelea hadi the kingdom come
kwanza napenda ukicum,into my life ukibring satisfaction
nakupenda na whole fraction ya heart ya me
niamini mammi nikikuambia ni wewe tu na mi
sisi tu wawili, kimwili, akili na kimantiki
more than marafiki, kila siku juma na wiki hii
hata tukila nyamchom ama sukuma wiki
mapenzi matam ka tam tam na keki
sisi tu wawili twafanya wasoro wakreki
No comments:
Post a Comment